Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







‼️INAKUWA WAZI TR 21/3/2025 KUONA NA KULIPA RUKSA KAMA MPANGAJI ATAKUWEPO‼️
APARTMENT NZURI SANAA INAPANGISHWA KODI TSH 350,000X6
MAHALI ILIPO KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 15 KWA MGUU
KODI TSH 350,000X6
SIFA ZAKE
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM
PUBLIC TOILET NDANI
SEBULE KUBWA JIKO ZURI NDANI
TAIRIZ JIPSUM MADIRISHA SLYID WINDOWS
UNAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO NA MAJI DAWASA MITA YAKO
ZIPO APARTMENT NZURI NNE TU NDANI YA FENSI
PARKING KUBWA
PEVING BLOCKS SAFI
BARABARA NZURI GARI
🚐 AINA ZOTE ZINAFIKA KWENYE NYUMBA BILA SHIDA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1
What saapp number ⬅️0689-547258