Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 19/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
🌟🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥 ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 19/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO NA KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
PIGA CM 0764575774