Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Itakuwa Wazi 07/05/2025 [ Ya JUU ]
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: Dakika 6-7 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
KODI 450,000 × 6
Au 400,000 × 12
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Heater Ya Maji Moto
✅️Inajitegemea Umeme Na Maji
✅️Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Fenced
✅️Parking IPO KUBWA 🚘
✅️Good Environment 👍
📌Barabara Ni Nzuri Kwa Aina Zote Za Magari 🚘
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp