Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO SEHEMU NZURI INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA HAKUNA MASTER
PUBLIC TOILET YA NDANI
#JIKO KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU BARABARA NIYAZEGE MPAKANDANI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
SIMU 06 59 33 67 51 Wsp 07 86 08 56 37