Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment NZURI ya Kupanga
Location: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Usafiri Bajaj 500
ππππ πππ π
β’ Sebule kubwa
β’ Vyumba Viwili vya Kulala Kimoja Master
β’ Jiko Zuri
β’ Choo Kizuri Ndani
β’ Stoo
Apartment Zipo 3 Ndani ya Fensi Parking ipo na Kila Apartment Inajitegemea UMEME LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
ππ€ππ π π¬π ππ¬ππ―π π£π Tsh. 500,000 Malipo Miezi 6
PIGA SIMU 0659336751 wsp 0786085637