Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA SUKA (Dsm)
Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 800
Dk 12 Kwa Kutembea Tu 🚶
PRICE: 300,000 × 4/5/6
✍️Sebule Kubwa
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve Tank Lako
✍️Umeme LUKU Yako
✍️Ipo Kwenye Fence
✍️Parking Available 🚘
✍️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp