Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT  MPYAA KABIS A  ZA KISASA  ZINAPANGISHWA ( KIMARA MWISHO ) ZIPO ( 2 )  TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA  FENSI  MOJA
 
HAPA  KUNA APARTMENT MBILI  TOFAUTI
GROUP (  A ) 
VYUMBA (  2 ) VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE YA WASTANI JIKO NZUR LA KISASA PUBLIC TOILET YA NDANI 
SLAIDING WINDOW TELIS  GPYSUM 
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KODI 300,000 X 6
GROUP (  B )
CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO LA KISASA PUBLIC TOILET YA NDANI
TELIS GPYSUM SLAIDING WINDOW 
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KODI 250,000 X 6
UMBALI WA KILOMETA (1, 5)  TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS 
USAFIRI WA UHAKIKA 
BAJAJ 700/=
BODA 1000=
UKISHUKA  DK  2 UMEFIKA
NDANI  YA FENSI PARKING  KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE ELF 15
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT
0716223412
0683597453



















