Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 300,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/08/2024
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#HAKUNA MASTER
#LUKU INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 300,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA
300,000/=
KWA DALALI
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/08/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NA MALIPO YANAPOKELEWA
====
CALL
0683234124