Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA IPOWAZI
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
βΌοΈ KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#ZIPO APARTMENT 3 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
NA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2π BAJAJI 700 πBODABODA1000
ππ SERVICE CHARGE NI SHILINGI ELFU 15 TUU NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI YA DALALI SHILINGI LAKI 2 NA NUSU
#0625606710