Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Mwisho
🕑2Km Kutoka Morogoro Main Road, Bajaji 1000 Mpaka hapo, Pia Unaweza Kupitia Kimara Stop Over.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Viwili, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet
🔹Umeme Luku yake & Maji yanaflow ndani
🔹Fensi & Parking Kubwa
🔶Kodi Tsh 300,000/=×4(Miezi Minne) au
Tsh 250,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊