Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA - KINYEREZI DITOPILE!
Nyumba safi na ya kisasa kwenye compound salama:
✅ Vyumba 2 vya kulala (vyote master en-suite)
✅ Sebule kubwa na jiko la open plan
✅ Choo cha wageni (public toilet)
✅ Maji baridi na moto yapo
✅ Nafasi ya kuegesha gari
Bei: 350,000/= x 6 (udalali sawa na kodi)
Service charge: 20,000/= tu
Mahali pazuri, barabara nzuri, karibu na maduka, shule na vituo.
Piga sasa kupata nyumba yako mpya!
📞 0688 412 890
Haraka inaisha! 🚨


















