Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kiseke, Mwanza
APARTMENT INAPANGISHWA KISEKE
-vyumba viwili vya kulala, kimoja ni self contained, sebule, jiko, dinning room na public toilet
-bei Mil 3.6 kwa mwaka
-umeme na maji unajitegemea
-malipo ni miezi sita
📲 0743 220097