Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=X 6 NA 400.000/6
🌟🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
NYUMBA ZIPO TATU TU KWENYE FENSI NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
BEI NI 350,000/= X 6
NA KUNA YA 400.000/_6
💫💫 APARTMENT HII IPO MADALE KITUO MIKOROSHINI KUTOKA STAND YA BAJAJI MIKOROSHINI UNATEMBEA DAKIKA 5 TU
USAFIRI UPO WA KUTOSHA BAJAJI 700 UKITOKEA GOBA NJIA NNE
NA UKITOKA MBEZI UNAPANDA DALADALA 700 NA UKITOKEA MWENGE DALA DALA 600
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713320608
0686334182