Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI KABISA ZINAPANGISHWA NYUMBA NI MPYA KABISAA
(ZIPO NNE NDANI YA FENCE)
LOCATION:MADALE MWISHOO
KODI:350,000=/
MALIPO MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA
đ„VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
đ„SEBURE
đ„CHOO
đ„JIKO LENYE MAKABATII
đ„UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
đ„CAR PARKING
đ„REMOTE GATE
đ„PAVING BLOCK
đ„ELECTRONIC FENCE
CONTACT
0782428327