Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







700,000 x3. 0759151524
MADALE ZINAPANGISHWA 💥MADALE 700K ZINAPANGISHWA 💥 💥 700K X 3,, BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 7
APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 700,000/= X 3
🌟 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA UNAWEZA KUWEKA NA MEZA YA DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#HEATER
#AIR-CONDITION ZINAFUNGWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ULINZI UPO MASAA 24
BEI NI 700,000/= X 3
💥BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 7
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO MADALE MWISHO NA KUTOKA BARABARA KUU YA MADALE HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437