Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







MADALE π₯ MADALE π₯ MADALE
APARTMENT MPYA KUBWA ZA KISASA ZIPO MITAA YA KISHUA KABISA ZIPO MADALE ZINAPANGISHWA BEI NI 800,000/= X 6
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#FENSI KUBWA ULIYOZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME
BEI NI 800,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY SHILINGI LAKI 8
π«π« APARTMENT HIZI ZIPO MADALE MWISHO NA KUTOKA BARABARA KUU YA MADALE HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NDUGU MTEJA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637