Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
Apartments zinapangishwa
Vyumba 2 Moja master sebule jiko public Toilet Kodi Laki 5 kwamwezi.
Vyumba 2 hakuna master Ila sebule jiko public Toilet IPO Kodi Laki 4 kwamwezi
Chumba master sebule jiko kodi Laki 3 kwamwezi.
Chumba master kubwa sebule jiko kodi Laki 3.5
Zipo madale mwisho/ goba kulangwa mnadani
Zote malipo miezi 6
Sim +255 750 246 905 / WtsApp