Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Magomeni, Dar Es Salaam
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥MILLION 150
APARTMENTS/NYUMBA ZINAUZWA
LOCATION MAGOMENI MBURAHATI.
DK 2 KUTOKA LAMI
ZIPO MBILI MBELE NA NYUMA
------
(A)
Mbele ina vyumba 2
Master, chumba simple
Choo Public, Jiko1 Ndani ya fence maji, umeme inajitegemea..
Kodi 700k,hii kwa anaehitaj kupanga pia anaruhusiwa
(B)
Upande Wa nyuma
Ina master, Seble, Jiko, public toilet, maji. Umeme inajitegemea Ndani ya fence
Maji yana flow
Ndani
Kodi 400k kuna mpangaji
--------
ENEO SQM 200
FULL DOCUMENTS
---------
BEI YAKUUZA 150 MILLION
----------
SERVICE CHARGE 30000 ,
10 PERCENT IPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347