Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA MAKONGO.
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Dinning
Jiko open kitchen
Choo cha familia
Parking
Ac
Makabati
Fensi ya Umeme
Kodi 1,200,000/= × 7
Dalali mwezi 1 pindi unapolipia nyumba
Kuona site 20K itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
PIGA SIMU O677370515


















