Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA;
💧Location :: makongo juu central nyumba lami
💧Bei ::800,000 Malipo Miezi 6Tu
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (vyote Masta)
📍Kwenye Vyumba Vyote kuna choo
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri lenye makabati
📍Fence
Makabati Chumba kimoja