Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam
Apartment Inapangishwa:
( zipo 2 kwenye fensi)
Location :: makongo juu goba raod kalibu na lami
Bei yake :: 700,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6
Muundo wa nyumba;
Vyumba viwili (Kimoja Masta)
Sebule kubwa
Jiko lenye makabati
Choo cha wageni
Fans
Paving Blocks
Fence
0719082300
0692904876
0762652066
Dalali mbezi bech afirikana SERVICE 20k