Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


🇹🇿APARTMENT Classic For Rent
Location: MAKONGO JUU
NJIA YA GOBA MWANZONI
Distance: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 4 kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini
✅️Sebule kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
✅️Jiko Kubwa lenye Makabati
✅️Public Toilet nzuri ndani
✅️Heater ya MAJI
✅️Reserve Tank (DAWASA)
✅️Full A/c
Apartment Zipo Ndani Ya Fence
Parking Ipo Na kila Apartment
najitegemea LUKU Na METER Ya MAJI Dawasa
Reserve TANK
Price: 500,000 × 6
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp