Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


💎Apartment nzuri inapangishwa ipo Karbu na lami
💎Vyumba viwili, sebule na JIKO
💎Bei 550k
💎Location MAKONGO
💎Ndani ya fensi na parking kubwa
💎Umeme na maji unajitegemea
💎 wapangaj mpo wawili tu
Call
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp