Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


Apartment iyoo
@
Inapangishwa
@
Bei laki 7
@
Ipo maeneo ya makongo mwanzoni
@
Ni vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Gar ndani
@
Umeme inajitegemea
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687