Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam
🇹🇿Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Makumbusho Bus Stand
Bei: 850,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Inatizama Lami
☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Jiko Na Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp