Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mandera, Pwani







#Repost dalali_mshana_ubungo_kimara
#APARTMENT ZIPO 2 NZURI ZA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#BEI NI 400K X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️APARTMENT HII IPO #UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU
#KUTOKA MANDERA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
#IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#UMBALI WA KUTEMBEA DKK 15 KWA MIGUU AU BODABODA 1,000
#SERVICE_CHARGER_15000
0712500602
0755336565