Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#AIR-CONDITION
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN NZURI
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI SHILINGI LAKI 3
LOCATION KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU USAFIRI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347


















