Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 270,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA CHINI
BEI NI 270,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA
NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII
GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
NA UKIIPENDA NYUMBA HII
UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
KWA MAWASILIANO ZAIDI
PIGA O677370515