Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 270,000/= X 6
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET NZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 270,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















