Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/05/2025 INATAKIWA MTEJA WA KUINGIA TAREHE 01/06/2025
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HEATER
#AIR-CONDITION
#PARKING
#GARDEN
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA YA JUU GOROFANI NDIO INAPANGISHWA
#INAPANGISHWA YA JUU GOROFANI
BEI NI 350,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/05/2025 MTEJA MPYA ANATAKIWA KUINGIA KUANZIA TAREHE 01/06/2025
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347