Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #300K
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms
Sebule
Jiko na
PUBLIC toilet
đź’°Kodi 300,000 Kwa mwezi Ă— 6
( Ilipwe miezi 6 inabidi ipigwe rangi nje ndani)
Umbali KM 1 Boda boda 1000
Ndani ya fence,zipo 4 kila apartment inajitegemea umeme na maji
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
#0625606710