Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(300,000X4) MBEZI KWA MSUGULI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1 TU
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE
USAFIRI WA BAJAJI 70O
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 3 KWA MIGUU UMEFIKA
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 300,000 X 4,5,6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
UKIPANDA BAJAJI DAKIKA 2 NA NUSU UMEFIKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024