Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA MPYAA MPYAAA INAPANGISHWA 
KODI YAKE 250,000/= X 5
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA  NI MASTER BEDROOM 
#SEBULE 
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET  NJE 
#LUKU METER YA UMEME NA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA  YANAFLOW NDANIN
#APARTMENT HII IPO NDANI YA FENCE 
BEI NI 250,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI  NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI  BAJAJI 700 BODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NB: NYUMBA HII ITAKUWA WAZI TRH 17/4 KUJA KUONA NAKULIPIA LUKSA 
CONTACT:: 0672 673363



















