Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Karibu na Shoppers Plaza) , Dar-Es-Salaam, Tanzania🇹🇿
Ina :
🔸️ Vyumba Viwili Vya Kulala ( Kimoja Masta)
🔸️ Sebule 
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Parking Space
Ina Ac.
 
Inajitegemea kwenye Umeme 
Dm :sarumbo_realestate
Mawasiliano : 0768753468
Ziko 2 Tu Kwenye Fensi
Kodi : 600,000 Tsh Kwa Mwezi
Contact 
0625584914




















