Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







250:000 APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
SEBULE KUBWA SANA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA WAPO NI MASTER
JIKO KUBWA ZURI
UMEME INAJITEGEMEA MAJI
ZIPO 3 NDANI YA FENCE
NYUMBA IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI K M 1;5 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI UPO WAKUTOSHA
BAJAJI🛺700, PIKIPIKI🏍️1000
KODI 250:000 × 4/5/6
CONTACT
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp