Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(170,000X3)MBWZI KWA MSUGULI 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA
INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 3
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE
#NO JIKO
#PUBLIC TOILET NJE
#LUKU METER YA UMEME INAJITEGEMEA MAJI DAWASA UNASHEA BILI
BEI NI 170,000/= X 3
💫💫 APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI 700 BODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453