Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach (Kwa Zenna), Dar-Es-Salaam ,Tanzania
Ina :-
🔸️ Vyumba Viwili Vya Kulala
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko lenye #makabati
🔸️ Choo
🔸️ Parking Space
🔸️ Inajitegemea Kwenye Umeme
🔸️ Ac
🔸️ Ipo ghorofani
BEI : 1,000,000 Tsh Kwa Mwezi
Nyumba ya pili kutoka lami 🛣
Kwa Mawasiliano Zaidi:-
Piga : 0715384892