Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI #500k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na
public toilet ndani
Kodi 500,000 Kwa mwezi × 6
Umbali wa Dakika 15 kwa miguu
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Ndaniya fence ila parking kubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0713320608
0686334182