Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
# INAVYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
# SEBULE
# JIKO ZURI SANA LINAMAKAPATI
# PUBLIC TOILET NDANI
# UMEME NA MAJI UNAJITENGEMEA
# NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI
======
BEI NI 300,000/=x6
ILIPWE LAKI TATU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1
USAFIRI UPO BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA TATU UMFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE NDANI NA NJEE
=====
CONT
0683234124
0718367179