Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Mbezi Beach: Single Storey 2 Bdrm Apartment For Rent - Dar
.
• Direction:
> Kwa Mwamnyange. Jirani na Main Rd na ufukwe wa bahari
• Condition:
> ya kuhamia; bila samani; roof ndefu inayoruhusu mzunguko wa hewa; nzuri na kisasa; mazingira tulivu
• Number Storey:
> apartment ya chini
• Number of Apartments:
> 4 kwenye compound
• Features:
> vyumba 2 (1 master), sebule, dining, jiko, washroom ya public, bindo
• Facilities:
> ac; makabati jikoni; maji matamu ya bomba; luku yako; parking
• Rent:
> TZS milioni 1/mwezi
• Term of Payment:
> miezi 6
• Viewing Charge:
> TZS 20,000
• Brokerage fee:
> TZS milioni 1
NB: Matengenezo ya ndani ya nyumba ni juu ya mpangaji. Nje ya nyumba ni juu ya mwenye nyumba
.
#0710614924
#0688653940