Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000

(450,000 ร— 6) ๐— ๐—•๐—˜๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—œ๐—•๐—”๐—ก๐——๐—” ๐—–๐—›๐—” ๐— ๐—ž๐—”๐—”

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= ร— 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

๐ŸŒŸ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#GARDEN

BEI NI 450,000/= ร— 6

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA

KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA USAFIRI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ด๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ 15,000

๐— ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐—บ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ

๐—–๐—ผ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ฐ๐˜:
0654101710
0787205300

Dalali Kimara Mbezi Mwisho
dalali_kimara_mbezi_mwisho
Dalali Kimara Mbezi Mwisho

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

(650,000X6)MBEZI KWA MSUGURI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, NJIA NI ZEGEโž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–NYUMBA KUBWA YA KIFAMIL...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 22,000,000

BEI MILIONI 22 NDIO BEI YA MWISHO =============MAONGEZI YAPO KIDOGO=============KIWANJA KINAUZWA KIP...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 15,000,000

Nyumba Pagale Lina Uzwa Mbezi Mpigi machimbo Location Mbezi Mwisho Mpiji Kituo MachimboBei Million...

Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 200,000

#2BEDROOMS (FULLY FURNISHED)APARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH SHOPPERS P...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 52,000,000

Million 52. 0759151524Nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho msumi ๐Ÿ“Ina: 2 bedroom โœ… 1 master room โœ… Sitt...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 52,000,000

Million 52. 0759151524Nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho msumi ๐Ÿ“Ina: 2 bedroom โœ… 1 master room โœ… Sitt...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

STAND ALONE FOR RENT,NYUMBA YA KIFAMILI INAPANGISHWA HIII SIYO YA KUACHA KABISAALOCATION:MBEZI MSUMI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 40,000

APARTMENT KALI KABISA ZINAPANGISHWA HII SIYO YA KUACHA KABISALOCATION:MBEZI MSUMI CENTER BAJAJI:1000...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 4,000,000

STAND ALONE HOUSE FOR RENT BIG HOUSE SIX BEDROOM AND BY QUARTER 2BEDROOM SELF SITTING ROOM KITCHEN P...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

For Sale: 8 BDRM BUNGALOW, TSHS 650 MILLION AT MBEZI-MWISHO/LUGURUNI. Here is a Gorgeous and Spaciou...