Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 2 KWENYE FENSI IMEBAKI 1 TUU KODILAKI 300,000X4X5X6
APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOHE KITUO MACHIMBO UMBALI TOKA MOROGORO ROAD ADI KWENYE NYUMBA KM 3 USAFILI BAJAJI 1000 DALADALA 600 UKISHUKA DAKIKA 3 UPOKWENYE NYUMBA
APARTMENT
SIFA ZIFUATAZO
NI VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE SAFI JIKO NA TOILET PUBLIC YA NDANI
PIA INAJITEGEMEA LUKU MITA YA MAJI DAWASA NA LIZEVU TANK
KODI 300,000/X=4x5x6
ITAKUWA TIYALI KUAMIA TAREHE 1-11-2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA MAFUNDI WAPO KAZINI WANAMALIZIA FINISHING ZA MWISHO
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637



















