Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
MAHALI : MBEZI BEACH(MAKONDE), DAR-ES-SALAAM , TANZANIA 🇹🇿
INA:
✅️ VYUMBA VIWILI VYA KULALA(HAINA MASTA)
✅️ SEBULE
✅️ JIKO
✅️ CHOO
✅️ MAKABATI VYUMBANI
✅️ AC
BEI : 600,000 TSH KWA MWEZI
KWA MAWASILIANO ZAIDI:-
PIGA : 0768753468 AU 0784397369
WHATSAPP : 0768753468
#sarumborealestate #daressalaam #mbezibeach #inapangishwa #tanzania #tzconnection #chumbasebulejiko #parkingspace #salasala #vyumbavitatu #apartment #makabati #ac