Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
Location :: MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA DAKIKA 2 KUTOKA LAMI
Bei yake :: 400,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba; (A)
🌡️Master kubwa
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko kubwa linafungwa makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡A/C Sebule tu
Bei yake:: 700,000 Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba; (B)
■Vyumba viwili kimoja master
■Sebule kubwa
■Jiko kubwa linafungwa makabati
■Fence...Ac Sebuleni tu
▪︎Agent fee 1 month
▪︎Survey Charge 20K
#NB: MKATABA UNAANZA TAREHE 1.1.2026 KULIPIA RUKSA NDUGU MTEJA ILA KUINGIA NDIO HIYO TAREHE ZINGATIA
Contact
Call/Whatsapp;...0677370515


















