Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZULI YA KIBABE INAPANGISHWA
MBEZI KWA MSUGURI
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 400,000/=x6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA DINNGI ROOM
JIKO LINAWEKWA MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME UJITEGEMEA NA MAJI
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1
BARABARA LAMI AUKANYANGI TOPE MPAKA GETINI
USAFILI UPO
BAJAJI 700
BODA 1000
KUJA KUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA ๐ฅ๐ฅ๐๐ฟ
NYUMBA ITAKUA TAYALI KWA KUHAMIA TAREHE 1/11/20/25
Contact ๐ฒ
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747