Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISA ZINAPANGISHWA NI MPYA NA UPYA WAKE KABISAAA
ZIPO TATU KWENYE COMPOUND MOJA
KODI YAKE:300,000=/KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 4
LOCATION:MBEZI MACHIMBOO
BAJAJI:1000
DALADALA:600
SIFA YA NYUMBA
✅VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
✅SEBURE KUBWA KABISAAA
✅DINNING SAFIII KABISAAA
✅JIKO KUBWA LENYE MAKABATII
✅TOILET PUBLIC
✅UMEME WAKO
✅FENI
✅FENCE
✅MAJI MITA YAKO DAWASCOO
✅PAVING BLOCK ZINAWEKWAA
✅PARKING KUBWA KABISAAA
CONTACT
0782428327