Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: MBEZI MWISHO
Distance: KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
Kwa Kutembea Dk 15 Tu 🚶🚶
Usafiri 24Hours Boda 1000
SEBULE KUBWA SANA
VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET NZURI 🚻
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
FENCED
PARKING KUBWA
KODI 250,000 × 2
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp