Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HIZI MBILI NDIO ZIPO HATUA YA MWISHO
BEI NI 500,000/= X 6
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA NJIA YA KUELEKEA MAKABE KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA AU DALADALA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Contact 0712474756