Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI MWISHO/ CHUO CHA ST JOSEPH MAGARI SABA
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 13 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
FENCE YA UMEME
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 450,000 X 3
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM # 0674860193