Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA
Location: MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STAND KM 1 TU
BARABARA NZURI YA LAMI YA ZEGE
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA HUTEMBEI
HAPA KUNA NYUMBA AINA MBILI
A:
✔️SEBULE KUBWA
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA la KISASA
✔️PUBLIC TOILET NDANI 🚻
✔️IPO NDANI YA FENCE
✔️PARKING SPACE KUBWA 🚘
✔️UWANJANI PAVING BLOCK
✔️INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
✔️FULL A/c
KODI 450,000 × 12
B:
🥕SEBULE KUBWA SANA
🥕DINNING ROOM
🥕VYUMBA V3 VIKUBWA KULALA
🥕CHUMBA KIMOJA MASTER
🥕JIKO KUBWA la KISASA
🥕PUBLIC TOILET NDANI 🚻
🥕IPO NDANI YA FENCE
🥕PARKING SPACE KUBWA 🚘
🥕UWANJANI PAVING BLOCK
🥕INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
🥕FULL A/c
KODI 550,000 × 12
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp